Matukio katika Picha,Semina ya Vijana iliyoandaliwa na kanisa la MICC,Mwanza International Community church


Mchungaji Zakayo Nzogere wa kanisa hilo la MICC akielezea jambo wakati wa semina hiyo maalumu ya Vijana jijini Mwanza
Mr.Albert Kasa akifundisha jambo katika semina hiyo

















Baadhi ya Vijana wakifatilia kwa makini semina hiyo

baadhi ya wachungaji katika kanisa la MICC wakifatilia semina hiyo



 
 
Pastor Carolyne Evelyne Nzogere akielezea jambo  katika semina hiyo




 

Comments