Mtume Peter Nyaga yuko Morogoro Jumamosi hii.

Ni saa ya urejesho morogoro, Morogoro yote kwa YESU, Ni siku 9 za ishara na maajabu ya BWANA YESU kupitia watumishi wake mtume Peter Nyaga na Mwinjilisti Maloda.

Mkutano huo utafanyika kuanzia tarehe 26 /04/2014 hadi tarehe 4 mwezi ujao.

Ni siku 7 ambazo zimebeba uponya, kufunguliwa , ukombozi ,baraka na kurejeshewa kila kitu ambacho shetani alikiiba.

Pia katika mkutano huo mkubwa kutakuwa na waimbaji wa nyimbo za injili Masanja Mkandamizaji, Edson Mwasabwite, Joseph Nyuki, Matha Baraka, Tumain Njole na wengine wengi.

HAKIKA HII SI YA KUKOSA .


Comments