Tamasha hilo lililobeba ujumbe wa
UNCONDITIONAL LOVE kutoka katika kitabu cha 1Wak 13:1, Mstari unao
onesha umuhimu wa Upendo litafanyika katika kanisa la CCC UPANGA Mkabala
na Tawi la Chuo cha Mzumbe Dar es salaam siku ya Jumapili ya Tarehe 6
mwezi wa 4 mchana.
Mtumishi wa Mungu akiwa katika uhakiki wa Gitaa tayari kabisa kwa tukio la jumapili
Mchungaji Samuel Mwangati akiongoza zoezi la uimbaji akiwa na vijana wa NEXT LEVEL TEAM
Bi.Grace Mwakasindile nae akiwaongoza vijana wa NEXT LEVEL TEAM zoezi la sauti. WATU WOTE WANAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE
Comments