AINA 10 YA MAVAZI YASIO NA MAADILI MEMA KWA MSICHANA

Na Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM).

Hiyo ni sehemu ya yale tuliojifunza kwenye kongamano la vijana Upanga.

1. Mavazi yanayo onyesha Matiti


2. Mavazi yanayoonyesha kitovu au tumbo la msichana


3. Mavazi yanayoonyesha kiuno cha mshichana hasa akiinama. (Wengine wanavaa chachandu/shanga wanamvalia nani?)


4. Mavazi yanayoonyesha rangi ya nguo ya ndani ya msichana. 


5. Mavazi yanayoonyesha mikanda ya nguo za ndani za msichana.


6. Kuvaa nguo za nje bila nguo za ndani au kuvaa nguo za ndani zisizojitosheleza.


7. Kuvaa mavazi yenye mipasuo mikubwa


8. Kuvaa nguo zinazobana kuliko kawaida.


9. Kuvaa nguo zenye majina mabaya.


10. Kuvaa nguo zinazo chonga maumbile yako kuliko kawaida





Comments