ALIOWAUNGANISHA MUNGU ,MWANADAMU ASIWATENGENGANISHE., HONGERA LUCAS MSHUZA NA HERIETH KWA KUFUNGA NDOA.

MMESHINDA VIJANA.
MUNGU ni mwema sana kwetu.
Shangwe na vigeregere na vigeregere. 

Ilikuwa ni furaha  kwa Lucas Martin Mshuza pamoja na Herieth walipofunga ndoa huko kurasini jijini Dar es salaam.
Nimefurahishwa na hatua hii kwa watumishi hawa wa MUNGU.
Kwa kifupi ni kwamba Lucas Mshuza alikuwa katibu wetu wa kanisa huko Zanzibar, alikuwa mkurugenzi wangu wa vijana Zanzibar P A G T. Alikuwa mwimbaji na alikuwa mzee wangu wa kanisa .
Nimebarikiwa sana kwa hatua hii njema .
MUNGU awabariki na kuwaongoza katika maisha ya ndoa yao.
Haya ni baadhi tu ya matukio katika picha siku ya harusi yao.

Lucas Mshuza

Mke mwema anatoka kwa BWANA.

Kanisani. Wakiombewa na watumishi wa MUNGU.

Nathibitisha upendo na furaha katika ndoa yangu.

Hakika wamependeza sana. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.

NI KWA NEEMA TU NA REHEMA MUNGU MWENYEZI..



Tulikotoka ni mbali ni mbali sana , ni MUNGU katutoa huko, na tunapokwenda atatufikisha.

Kwa msaada wa MUNGU tutatenda makuu (Zaburi 60:12A)
 

Comments