Ni hatua njema sana na kinachofuata ni ndoa. Zoezi hilo lilisimamiwa na Mchungaji Kiongozi wa KPC Pastor Elly Boto. Hizi ni baadhi ya picha katika tukio hilo pia kumbuka Amos ndiye aliyetoa ushuhuda huu wa ajabu na MUNGU alimtetea na sasa amempa baraka mpya kama hukusoma ushuhuda huo FUNGUA HAPA
Mchungaji Elly Boto akiongea neno kabla ya zoezi la kuvishana pete ya uchumba, kulia ni Amos na kushoto ni Lucia. |
Amos na Lucia |
ilikuwa ni furaha kbwa kwa vijana wote kanisani. |
ilikuwa ni furaha kubwa.wakati wa tukio la kuvishana pete ya uchumba. |
maombi |
baada ya zoezi ilikuwa ni kupiga picha za ukumbusho. |
Lucia akiwa na Scholar Mungusa wa Maisha ya ushindi. |
Lucia Daniel. |
Comments