Ukweli ni kwamba kila
kitu alichokikusudia Mungu lazima kitimie, ingawa vikwazo vingi vinaweza
kuinuka lakini kamwe haviwezi kuzuia kusudi au mpango wa Mungu..
"KUTOKA 14:13-31" Hapa biblia inaelezea habari za WANAWAISRAELI.
Kusudi la Mungu lilikuwa ni kuwatoa Wanawaisraeli kutoka ktk nchi ya Misri na kuwapeleka ktk nchi ya ahadi yaani Kaanani ili wamtumikie huko. Lakini pamoja na kwamba Kusudi la Mungu ni kuwatoa israeli utumwani lakini hapa tunamuona FARAO akiinuka na kutaka kuzuia kusudi la MUNGU, Biblia inaeleza kwamba wanawaisraeli wakawa wakisafiri jangwani na gafla walipoifikia bari ya shamu kumbe kwa nyuma majeshi ya Farao yakawa yanawafuata kwa nyuma ili kuwazuia wasivuke kwenda ktk nchi iliyoikusudia Mungu.
Tunaona wanawaisrael wanapita katikati ya bahari
na majeshi ya Farao nao wakafuata, Lakini kwa vile mwanadamu hawezi
kuzuia mpango wa Mungu tunaona Mungu akiyaangamiza majeshi ya Faro ndani
ya bahari..
Mungu akubariki sana kwa tafakari hii.
By ALEX.
"KUTOKA 14:13-31" Hapa biblia inaelezea habari za WANAWAISRAELI.
Kusudi la Mungu lilikuwa ni kuwatoa Wanawaisraeli kutoka ktk nchi ya Misri na kuwapeleka ktk nchi ya ahadi yaani Kaanani ili wamtumikie huko. Lakini pamoja na kwamba Kusudi la Mungu ni kuwatoa israeli utumwani lakini hapa tunamuona FARAO akiinuka na kutaka kuzuia kusudi la MUNGU, Biblia inaeleza kwamba wanawaisraeli wakawa wakisafiri jangwani na gafla walipoifikia bari ya shamu kumbe kwa nyuma majeshi ya Farao yakawa yanawafuata kwa nyuma ili kuwazuia wasivuke kwenda ktk nchi iliyoikusudia Mungu.
![]() |
Mtumishi Alex |
Mungu akubariki sana kwa tafakari hii.
By ALEX.
Comments