HATUA 7 ZA KUMJUA MUNGU

Mwl Sospeter Simon S. Ndabagoye
New Elshaddai Ministries NEM-Tanzania.


(i) Mungu anakupenda na u sehemu ya familia yake hakuna awezaye kuokoa zaidi yake(Yn3:16,15:9&17:3)

(ii)Unahitaji msaada wa Mungu na bila kuliamini jina la Yesu tayali umeshahukumiwa(Yn3:18&19,8:24)

(iii)Uamini kua Kristo ndiye mwokozi(Yn1:29,3:36&14:6)

(iv) Mpokee Yesu kuwa mwokozi wako(Yn1:12,5:24&10:28)

(v) Kiri kwamba Yesu ni BWANA na rafiki yako(Yn15:14,16:24&20:28)

(vi)Jifahamu sasa kwamba wewe u sehemu ya familia ya MUNGU yaani kanisa la Kristo(Yn15:5,20:19&20)

(vii)Jitoe kikamilifu kumtumikia BWANA.Fanya maombi,soma biblia na kushuhudia(Yn8:31&32,14:13&20:21)

Kama umeguswa na ujumbe huu,endelea kumwomba Mungu akufunulie zaidi ili umtumikie kama apendavyo.

amen

Mungu akubariki na kukuinua, akufunulie zaidi na zaidi umjue sana na kumpenda, Katika Jina la Yesu Kristo nimeomba.
Mwl Sospeter Simon S. Ndabagoye
New Elshaddai Ministries NEM-Tanzania
sos.sesi@yahoo.com.
Simu +255 712 909 021.
+255 784/757 464 141.

Comments