HATUA 9 AMBAZO KILA MAHUSIANO YA MAPENZI HUPITIA HAPO.

Na Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM).


Mahusiano kama ilivyo maisha, yana hatua zake za ukuaji. Huanzia katika hatua ya kuwa na shauku na kisha hupitia hatua zingine nyingi katika kukua kwake.

Kila hatua ni kama majaribio ya kukupima kama mnaendana wewe na mwenza wako. Utakapokosea sehemu yeyote njiani basi mahusiano yenu yatakuwa yamefikia mwisho.

Umewahi kukutana na watu walioko katika mahusiano kama vile watakaa pamoja milele, lakini wakaishia kuachana miaka michache baadae tena wengine kwa maumivu makali na viapo vingi.
Huenda kwa kukisia wanaweza kuwa walikosea sehemu moja katika hatua tisa za mahusiano ya wapendanao.

Hatua 9 ambazo kila mahusiano ya mapenzi hupitia. 


Hatua #1. Hatua ya Shauku. 


Hatua #2 Hatua ya Kuelewana. 


Hatua #3 Hatua ya Misukosuko. 


Hatua #4 Hatua ya Kutengeneza Mtazamo


Hatua #5 Hatua ya Kumbadilisha Mwenzi wako ili awe vile Unavyotaka. 


Hatua #6 Hatua ya Furaha na Kufurahiana. 


Hatua #7 Hatua ya Mashaka na Maswali yasiyo na Majibu. 


Hatua #8 Hatua ya Hisia Kuinuka na Kutafiti hasa Mambo yahusuyo Tendo la Ndoa.


Hatua #9 Hatua ya Kuaminiana kwa Dhati.

Comments