INGEKUAJE KAMA WATU WOTE DUNIANI WANGEMPA BWANA YESU MAISHA YAO?

Ingekuje kama watu wote duniani wangempa BWANA YESU maisha yao?.

-Ugaidi tungeusikia ukifanyika tu kuzimu.
-wizi angekuwa anajiibia shetani na wasaidizi wake tu.
-Vita wangekuwa wanapigana mizimu na majini tu.
-Dunia ingekuwa kijiji cha amani.
-Mafisadi wasingekuwapo duniani.

Ongeza na wewe unachokiona kingetokea.
Ubarikiwe.(Hii imetoka katika page yetu ya facebook, watu wametoa maoni yao. ukipenda ku-like page yetu FUNGUA HAPA )






  • Frank Said Mzee Waupako hata dhuluma isinge kuwapo.
  • Jee Adel usengenyaji ungekuwa kwa mizimu tu,barikiwa
  • Halima Kitoki Shetani asingepata mawakala dunian. Ubarikiwe mtumishi
  • Jennifer Shayo Hata makahaba na mashoga wasingekuwepe dunia imeharibika shetani anafanya kampeni kwakasi

  • Deogratius Arego Tusingelia dhiki wala njaa..
  • Elias Paul Amen Barikiwa sana

  • Masalu John Injiri isinge hubiriwa tena.

  • Paulo Mathai Homa ya Dengue isingeingia Dar ingekua kuzim.barikiwa kaka

  • Monica Likoko Haswa nalo hili ni neno kubwa

    • Edgar Edwine Na iwe hvo kwadamu ya yesu

    • Denice Modest Rweyemamu Mawazo mazuri,Mungu atusaidie maana kumtoa Yesu ni ili awaokoe wanadamu wote

    • Dotto Mashimba Hiyo kwel

    • Dickson Elias Mathayo watu wote wage mwabudu mungu na wangekaa na hofu ya mungu

    • Dickson Elias Mathayo nika neema tu

    • Mchg Luka Lwilla
      Natafakari zaburi 116:12 "Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?"
      Ameniwezesha mangapi ukiwepo uhai?
      Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo?!
      Tena ni ndugu wangapi nimeanza nao mwaka lakini mpaka madakika haya cpo nao!
      Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua?
      Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema ni kwa "NEEMA TU"
      Nakutakia asubuhi njema, wiki njema ya kutumika kwa uaminifu.

Comments