KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA LAFANYA MAKUU KWA MSAADA WA MUNGU


Mungu wetu ni Mungu wa huruma na upendo. Tunamwabudu kwasababu tunaona matunda kutoka kwake. Mungu amekuwa faraja kwetu, na anatusaidia katika mengi. Tunamshukuru Mungu katika ibada hii watu waliweza kusikia ujumbe wa Mungu kwa kupitia mtumishi wake Mtume Peter Nyaga. Watu waliweza kupokea kile walichokuwa wanakihitaji na wale ambao hawakupokea siku basi tunaamini Mungu atakwenda kuwapatia. Waliofungwa na nguvu za giza walifunguliwa. Ndugu yangu usiwaze wala kutamani kukosa nyumba hii ya Bwana kwani kuna uzima na faraja ndani ya nyumba hii.Kanisa letu liko Tabata Chang'ombe linaitwa RGC Miracle Center





NABII LUCY NATASHA KUTOKA KENYA NA WATUMISHI WA MUNGU WATAFUNDISHA MABINTI NA AKINA MAMA KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA. SOMA TANGAZO HAPO CHINI:

Comments