Chama Cha Muziki Tanzania kinapenda kuwajulisha Watanzania wote na dunia
nzima ya kwamba ndugu yetu na rafiki yetu Debora Said anaumwa sana na
amelazwa katika hospitali ya KINONDONI jijini Dar es Salaam kwa Dr.
Mvungi. Tunaomba wapenzi wa muziki wa injili Tanzania na dunia nzima na
wadau wote kumuombea Debora apone na arudi katika hali yake ya awali ya
kutumikia Mungu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mwenyekiti wa maadili CHAMUITA MC Makondeko +255 658 559004. Imetolewa na Katibu Muenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mwenyekiti wa maadili CHAMUITA MC Makondeko +255 658 559004. Imetolewa na Katibu Muenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella Joel.
Comments