NI SAA YA KUPONA NA KUFUNGULIWA KATIKA KANISA LA KAWE PENTECOSTAL CHURCH, KAWE JIJINI DAR ES SALAAM..


Ndugu huyu aliletwa kanisani hata kutembea hawezi lakini BWANA ni mwema uzima wake ukaingia.


MUNGU ni mwema na anaendelea kumtumia mtumishi wake Mchungaji Elly Boto wa kanisa la Kawe Pentecostal Church(K P C). Mahali hapa pamekuwa ni sehemu ya makimbilio kwa kila mwenye shida ya kiroho ambapo katika ibada ya jana MUNGU aliendelea kudhuhirika kwa kuwaponya na kuwafungua watu wake. hizi ni baadhi tu picha katika ibada ya jana na kama unahitaji maombezi na ushauri ni bure kabisa pia namba 0719640642 au 0752965812. pia unaweza kumpigia mzee kiongozi wa kanisa hilo kwa namba 0657361222. ni bure kabisa

 
 
wakati wa neno la MUNGU lililofundishwa na Mchungaji kiongozi Elly Boto.


 
BWANA YESU anaponya na kufungua kupitia huduma hii ya kawe pentecostal church.

Comments