ROSE MUHANDO ATUNUKIWA STASHAHADA SIERRA LEONE.

Malikia wa mzuiki wa Injili Tanzania Rose Muhando ametunukiwa Stashahada na cheti cha kutambua mchango wake katika kueneza amani na mshikamano kupitia nyimbo za injili.Stashahada hiyo alitunukiwa na Chuo Kikuu cha
Africa Graduate cha nchini Sierra Leone katika hafla iliyofanyika mjini Moshi hapa mwishoni mwa wiki.
 

Akimtunuku Stashahada hiyo mkuu wa chuo cha Afrika Graduate,Dr,Timothy Kazembe,alisema chuo hicho baada ya kurizika na kazi za mwimbaji huyo katika muziki hasa muziki wake wa injili,ambao umekuwa ni chachu ya ukombozi kwa watu wengi.
ChANZO:Unclejimmy

Comments