Mwanamziki huyo akifanya mahojiano na gazeti moja, alisema nyimbo hizo zitamkumbusha mama yake ambaye mara nyingi alipenda ambimbe nyimbo za gospel lakini hakufanya hivyo mpaka mama yake akafariki, alisema mama yake alitoa mchango mkubwa katika kuandaa nyimbo zake zinazovuma kama I Was Made to Love Her” “Signed, Sealed, Delivered I’m Yours.
![]() |
Steve alipiga na kuimba |
alibamu hivyo inayoandaliwa itakuwa na vionjo tofauti ili kuweza kuguza watu wakila aina baadhi ya nyimbo zitaimbwaa na kupigwa ala za kiasili lakini nyingine zitakuwa ni twist, na nyingine katika lugha ya kiarabu aidha amesema nyimbo nyingi zitazungumzia upendo maana ndicho kitu kikubwa Mungu anachotaka kwetu.
Comments