HABARI PICHA: ILIVYOKUWA KATIKA DARASA LA WANANDOA KATIKA KAINISA LA OASIS OF HEALING MINISTRY NA MWL PETER MITIMINGI.

Masaomo kama haya ni muhimu sana kwa wanandoa maana changamoto za ndoa ni nyingi sana.
Darasa kama hili huwezi kusinzia maana kila neno linalotamkwa ni point na kila neno ni muhimu.
Mchungaji na Mwalimu Peter Mitimingi akifundisha katika darasa hilo la wanandoa.

Comments