ILIVYOKUWA KATIKA CONCERT YA DON MOEN NA LENNY LE BLANC NCHINI UGANDA.


Hii ni sehemu ya picha ya namna Concert yake Mwanamuziki wa injili Don Moen kutoka Marekani ilivyofana nchini Uganda mapema mwezi huu ambapo ilipambwa kwa nyimbo mbalimbali za kumsifu Mungu na kuwakutanisha maelfu ya wakazi wa Uganda pamoja na Kumuabudu Mungu pamoja.

Kupitia Page yake ya Face book Mwanamuziki Don Moen ameandika 
 "Thank you Lord for a beautiful evening last night for our final concert in Kampala! I pray lives were touched as we worshiped together. Our final event in Uganda, a worship seminar at Miracle Center Cathedral, starts in the next hour. I hope worship leaders and pastors will be encouraged by our training this afternoon.






Comments