![]() |
Joyce Meyer Mhubiri huko marekani ambaye kanisa lake lina maelfu ya waumini, MUNGU anamtumia sana mama huyu lakini vazi lake mara nyingi ni suruali.. |
Nabii Flora ni mtumishi wa MUNGU anayefanya vizuri sana katika huduma, ni mmoja wa watumishi wa MUNGU ambao huvaa suruali. |
Comments