KITABU: THAMANI YA NDOA , KUTOKA KWA MCHUNGAJI PETER MITIMINGI

THAMANI YA NDOA ni kitabu bora kabisa.
Kitabu kiitwacho THAMANI YA NDOA kutoka kwa Mchungaji na Mwalimu Peter Mitimingi kiko mitaani sasa.

Mchungaji Mitimingi ambaye MUNGU amempa karama ya ajabu ya kufundisha hasa semina za ndoa ameandaa mambo mazuri sana hukusu ndoa na hakika kwa kusoma kitabu hiki unaweza kupata kabisa tiba ya matatizo yako ya ndoa.

  Wasiliana na Mchungaji Peter Mitimingi kwa namba 
0713 183939 ili akuelekeza mahali pa kukipata kitabu hiki.

Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM) ambaye pia ndiye mtunzi wa kitabu hiki cha THAMANI YA NDOA.

Comments