Mtu anapompokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa
maisha yake mambo yafuatayo hufanyika:-
(1)Unahamishwa kutoka katika nguvu
za giza na kuingizwa katika ufalme wa Mungu->WAKOLOSAI 1:13(Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
).
(2)Unasamehewa dhambi->WAKOLOSAI 1:14(ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; ).
(3)Unakuwa kiumbe kipya->2KOR 5:17(Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. ).
(4)Unafanyika mtoto wa Mungu->YOHANA 1:12-13 ( Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. ).
(5)Unapata haki->WARUMI 5:9(Basi zaidi sana tukiisha kuhesabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye. ).
(6)Unapata nguvu ya Mungu->1KOR 1:18(Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. ).
(7)Roho Mtakatifu anaingia ndani yako->WARUMI 8:9(Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake. ).
Barikiwa sana na YEHOVA MUNGU.
bY Mtumishi Alex
![]() |
Na Mtumishi Alex |

Comments