MARTHA BARAKA AISHIKA MBEYA KWA NYIMBO ZAKE KATIKA MBEYA GOSPEL FESTIVAL 2014


Wakazi wa Mbeya wakifurahia Mbeya Gospel Festival baada ya Martha Baraka kupanda jukwani na kushambulia jukwaa kwa kulitaja jina la Yesu na matendo makuu ya Mungu kwa kupitia uimbaji. Ukisikia watu kuchanganyikiwa siku ya ijumaa 21/06/2014 Mbeya hapakukalika.

Martha Baraka


Tunawashukuru wakazi wa Mbeya kwa kile mmekifanya kwa utukufu wa Mungu. Mliacha kazi zenu na mkaweza kuungana na waimbaji mbalimbali kutoka Tanzania. Na tunatumaini mliweza kukijua CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA kutoka kwa viongozi wake. Tunaamini mtajiunga ili muweze kusaidiwa pale mnapokwama kimuziki.

Tuone baadhi ya matukio

  Martha Baraka
  Martha Baraka
 Martha Baraka

Comments