MWIMBAJI NYOTA WA INJILI WA INJILI NIGERIA KEFEE DON-MOMOH AFARIKI.


 Kefee Obareki Don-Momoh enzi za uhai wake.

Mwimbaji maarufu wa injili nchini Nigeria Kefee Obareki Don-Momoh amefariki dunia nchini Marekani.

Kefee Obareki Don-Momoh ambaye alikuwa akijulikana zaidi kama "Branama Queen" inasemeka aliugua akiwa ndani ya ndege huko nchini  Marekani wiki mbili zilizopita.
Kefee ambaye pia ilidaiwa alikuwa Mimba ni mwimbaji aliyekuwa anafanya vizuri nchini kwao.

Alikuwa mke wa  Teddy Don-Momoh, na nyimbo zake zilizotamba sana ni Branama na Kokoroko.

Kefee na Teddy Don-Momoh siku ya ndoa yao.
Kefee alianza uimbaji wa nyimbo za injili akiwa na miaka 8 baada ya kujiunga na kwaya kanisani.
Msainii huyu pia ni aliwahi kuwa mshindi wa  Multi-Award Winning Gospel Singer


BWANA alitoa na BWANA ametwaa jina la BWANA lihimidiwe milele.

angalia video ya wimbo wake wa kokoroko.

Comments