Kwa kupitia Facebook Accout, Rais wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania
Addo Novemba amepost habari za kifo cha mwimbaji wa nyimbo za Injili
Tanzania Debora Said na hivi ndivyo alivyoandika, "Pigo Tena kwa Tasnia
ya Muziki wa Injili, ninayo huzuni kubwa
kuwatangazia Kifo cha Mwenzetu Deborah Said aliyefariki
Muhimbili..naomba ushirikiano katika kipindi kigumu, kwa kuwa nipo nje
ya Dar nikijiandaa kurudi nimeshamtuma Mhe Cosmas Chidumule aunganishe
wanamuziki wote..Bwana Ametwaa, Tuonane Milele Tuonane Bandarini Pale!"

Marehem Debora Said enzi za uhai wake
Huu ni wakati wa kuungama na kutubu makosa tunayoyafanya katika maisha
yetu hapa dunia, siku ya mwisho tutatupwa jehanamu kama tukizidi
kumsahau Mungu. Mungu amekupa kipaji fulani kwa kazi yake basi kitumia
na usiache. Debora amefanya kazi ya Mungu kwa njia ya uimbaji na sasa
Mungu amemchukua akampongezi kwa kile amekifanya duniani.

Comments