NILIKUA NA PEPO LA UTAMBUZI AMBAPO KILA NENO LA SIRI WALILONIONGEA WATU NILIJUA.

Catherine Camara.
Nilizaliwa Na Kukua Katika Familia Ya Dini Ya Mashahid Wa Yehova. Wazazi Wangu Ni Watu Walioshika Sana Imani Ya Dini Hyo.Hata Nami Pia Nikawa Hivyo Na Pia Kutembea Mitaani Kuhubiri,ingawa Nilikuwa Mdogo Yapata Nikiwa Darasa La Tatu 2005.
Nikamaliza Darasa La Saba Na Kufaulu. Shule Ilikuwa Mbali Na Nyumbani Na Ilikuwa Ni Day, tulilazimika Kupangiwa Chumba Mimi Na Dada Yangu Ambaye Alinizidi Darasa Moja.Maisha Yale Sikuyapenda Kwani Dada Alikuwa Analeta Wanaume,anafungulia Miziki Ambapo Muda Mwingine Nililazimika Kulala Kwa Marafk Ili Yeye Alale Na Wanaume Wake.Hali Ikazidi Kuwa Tete Kwani Nikaanza Kupenda Miziki Ya Kdunia,movie Za Ajabu,matusi,makundi Mabaya N.k.

Nikaanza Kuchukia Vipindi Vya Dini.Ikifika Wakati Wa Dini Mimi Na Rafiki Yangu tunaenda Kukaa Juu Ya Mti.tulikuwa tunadharau Sana Watumishi Wa Mungu Kwa Kejeli.
Kanisani Nikawa Siendi Tena.Ulikuwa Mwendo Huo Hadi Form 3 2012 Ambapo Nilimkosea Kidogo tu Dada Akanipga Sana Kwa Waya Na Hata Mbao ,ndipo Mizimu Ya Kwa Baba Ikanipanda,nikaombewa Hata Na Waislamu Lakini Bila Mafankio,nilipelekwa Hadi Kwa Waganga wa kienyeji Lakini sikupona. Hadi niliombewa.
  Pia toka mizimu ya mababu iliponishika ilikuwa kwamba mtu yeyote  akiongea jambo hata sirini mimi  nalijua jambo hilo. Na Kabla Hatujafika Iringa Ambako Ndo Nimemalizia kidato cha 4, tulipitia Kwa Mjomba Mwingine{makambako} Ambaye Yeye Na Mama Walidiriki Kutoa Sadaka Ya Unga Na Maji Kwenye Kaburi La Babu Walinificha Lakini Baada Ya Kuokoka Nilionyeshwa Hayo Ili Nivunje Agano Lile. Kiukweli Laana Ni Jambo Ambalo Ukoo Wangu Umefungwa.Lakin Mungu Aliniambia Mimi Ndiye Nitakayesimama Na Kubeba Mzigo Wa Ukoo.
Nimetambua Kuwa Mungu Ana Kusudi Na Mimi Tangu Utoto Kwani Nilikuwa Na Maono .Hata Kanisa Nililookokea Niliwahi Kuliona Tangu Nikiwa Mdogo.Na Hata Baada Ya Kuokoka Nilikuwa Naota Ndoto Nawaombea watu na  Mapepo yanawatoka  Na Hata Kuwaponya Baadhi Ya Wanafamilia.  Wapendwa Ukijua Kusudi La Mungu Katka Maisha Yako ,familia Hata Ukoo Simama Katika Maombi Kwani Wewe Ndiye Utakayewaokoa.Na Alilopanga Mungu Lazima Litimie.Mungu Ana Majira Yake Wakati Wake ,wakati Ukifka Kweli Anatenda.
Kwani Hata Kaka Na Dada Yangu Wamemaliza Form 4 Bila Kufaulu,ni Mimi Pekee Ambaye Nimefaulu Kwa Neema. Hii Ikionyesha Dhahiri Kuwa Mungu Yu Pamoja Nami. .

THANKS MY LORD AM REAL REDEEMED FOR HIS GRACE. AND GOD IS STILL SAYING SUM THNG IN MMY LIFE.

A LOVE U JESUS.

Sikuchanjwa Chale.Ndipo Wazazi Wakaamua Kunipeleka Kwa Mchungaji Ambaye Ni Mjomba . Nikahamishiwa Shule Huko,nikaombewa Na Kwa Neema Ya Mungu Nilifunguka . 2012 Mwezi Wa Nane Nikaokoka. Nikawa Mtu Wa Kupenda Ibada,sina Mahali Pa Kwenda Zaidi Ya Kanisani Na Kwenye Kwaya.Niliendelea Hivyo Hadi Kufikia Mwaka Jana Ambapo Nilitamani Sana Mwinjilisti Wangu Alipokuwa Akihubiri .Nikamwambia Mungu Natamani Sana Kusema Na Kanisa Pia.
Mungu Alinisikia Nikapewa Nafasi Ya Kuhubiri,nakumbuka Nilihubiri Juu Ya SALA YA KUGUSA. Neno Hili Liliwafungua Sana Watu.Na Tangu Siku Hiyo Hadi Sasa Ni Mhubiri Lakini Katika Kanisa La KKT.  Nimejfunza kuwa dini nyingi zinazoongozwa kwa kanuni uwepo wa Mungu upo kiasi kidogo.kwani mashahidi wa Yehova hawana hata siku ya maombi.ila kusoma biblia tu na kuhuburu. Namshukuru Mungu Kwa Neema.WAPENDWA TWAOKOLEWA KWA NEEMA BASI TUTUMIE NEEMA HII IPASAVYO.NA MUNGU AWABARIKI KUPITIA USHUHUDA WANGU.
By  Catherine Camara

Comments