Ilikuwa
ni jumapili ya Tarehe 22 mwez wa 6 katika ukumbi wa kanisa la FPCT
Morogoro ambapo tamasha kubwa la uimbaji lilifanyika likishirikisha
kwaya na vikundi binafsi vya uimbaji.
Habari njema katika tamasha hilo ilikuwa
taarifa rasmi ya uwepo wa tamasha kubwa mwezi wa nane litakalo ongozwa
na waimbaji wakubwa Afrika Mashariki akiwemo Sarah K na Solomon Mkubwa.
Baadhi ya picha za Tamasha ni hizi zifuatazo,
Mtumishi wa Mungu Mwita akitawala jukwaa
Kwaya ya KKKT Majengo (Kihonda)
Chotlda Mathias akimuimbia Mungu ndani ya ukumbi wa FPCT Morogoro
Comments