Ujumbe wa ALEX JOSECK kuhusu kifo cha dada DEBORA JOHN SAID

Mtayarishaji na mmiliki wa kampuni ya kutayarisha video za Injili KINGDOM MEDIA Bwana Alex Joseck,naye pia meguswa na kifo cha mwimbaji wa nyimbo za injili hapa Tanzania dada DEBORA SAID kilichotkea jana Asubuhi...

Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook....

"Ni masikitiko kwetu tuliobaki, kwa tasnia nzima ya muziki wa injili, hakika hatutasahau mchango mkubwa na huduma ya mtumishi wake, Deborah John Saidi. Yesu ndie mfariji wetu tuliobaki, Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, jina lake Yesu libarikiwe.

Amen"

Nasi kama wadau wa Injili tunatoa pole kwa familia ya marehemu....

Comments