"Nilimwambia Mungu siku nyingi kwamba Mungu ninatamani kufanya kazi, nifanye kazi kama ulivyosema kwamba Uyahudi, Samaria, Yerusalemu hata mwisho wa nchi. Sasa Mungu tunawezaje kufika huko Samaria na wapi na wapi..?? Mbona waimbaji wa dunia wanaweza kwenda popote, kwanini sisi, kwa sababu gani?..na wewe Mungu tunayekutumikia ni wewe Mungu ambaye kila kilichopo duniani ni chako, dunia yote ni yako basi tunawezaje kwenda..!!! Biblia inasema, Wamwiteje Yeye wasiyemsikia...?? Wamsikiaje Yeye wasipomhubiri..?? Wahubirije wasipopelekwa..??
Basi nilkuwa nikitamani kwenda huko na huko kwenda kufanya kazi ya Mungu, kwenda kuhubiri. Leo hii nimepata mtu wa kunipeleka anayeitwa Sony....na sasa ninaweza kufanya kazi ya ukweli.."

Rose Muhando ndani ya Wololo
![]() |
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake Rose Mhando, wimbo wa kwanza ni mpya kabisa., karibu kwa kuangalia.
Comments