![]() |
Na Mwinjilisti John Chinyuli |
leo hii injili inahubiriwa kila kona bila kificho dhambi inakemewa wazi wazi kila mahali lakini hutaki kusikia loooo umekomaa na kufanya ushetani....! huruma sana,miaka hii ya leo unamkataa Yesu kwa matendo yako uyatendayo ajabu sana ambapo kila kitu kimegeuka kuwa kemikali(sumu)ni uharibifu,unamkataa Yesu ambaye ndie uzima wenyewe,ukifika kuzimu mpe tano shetani aisee mpendwa mwambie ulikomaa hukwenda kwa bahati mbaya ila ulikomaa na uliamua mwenyewe kwa hiyo hujafika kwa bahati mbaya ila ulipenda tu,ulihubiriwa injili hukutaka kusikia mcheze ndoboro ya soro ya kuzimu milele pamoja nae,mweeee meza ivo ivo hata kama ngumu kumeza... ..!
KARIBU KWA YESU AMUA KUACHA MICHEZO MICHAFU NDUGU YANGU.
MUNGU akubariki sana.
By Mwinjilisti John Chinyuli
0767 592989/0712 592989
Comments