Albamu ya NI WEWE UMENIITA ya Edward Kisusu inapatikana.

Mwimbaji wa Nyimbo za injili Edward Kisusu ametoa Albamu yake ya kwanza ya nyimbo za injili yenye nyimbo 8, Albamu hiyo iitwayo NI WEWE UMENIITA. inapatikana sasa ambapo kwa sasa yeye mwenyewe ndio msambazaji. Ni albamu nzuri na unaweza kumtafuta kwa namba 0758852098 AU 0683009624


Comments