Kanisa katoliki Tanzania lawataka wajumbe wa UKAWA kurudi bungeni.

Kanisa katoliki limewataka wajumbe wa bunge la katiba wanaounda umoja wa katiba ya wananchi Ukawa kurudi bungeni na kuendelea kuijadili rasimu ya pili ya katiba bila masharti yoyote huku bunge hilo likitahadharishwa na upotoshwaji au uchakachuaji wowote utakaofanywa dhidi ya rasimu hiyo ambayo ni maoni yaliyokusanywa kutoka kwa wananchi.

Comments