KAZI YA SHETANI NI KUKUANGAMIZA KUANZIA HAPA DUNIANI NA MBINGUNI. MWIZI ATUNDIKWA MTINI


Unaweza ukawa unafanya vitu mafichoni na inakuwa vigumu sana kwa mwanadamu kukuona. Jicho la Mungu lipo mahali popote na muda wote. Huyu ni mwizi ambaye amekuwa akiwaibia watu kwa muda mrefu sana bila ya kukamatwa kutokana na kujificha kwake lakini leo hii jicho la Mungu limemfichua alikojifisha na sasa amewekwa machoni pa watu akijidharirishwa kwa maovu yake.

Wakazi wa Mbeya Mungu amewaona na kuwasaidia kwa kumfichua huyu mwizi ambaye alikuwa akitesa wakazi wa Mbeya. Mwizi huyu alikamatwa Mkoani Mbeya eneo la Soweto garage akiimba funguo za gari.

Tuone baadhi ya picha.


Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.




Kijana huyo akiwa anapata shida na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini


Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha

Kijana huyo akiendelea kuteseka



Hali inakuwa Mbaya zaidi





Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

Comments