Maadhimisho ya Miaka 75 ya kanisa la TAG yafana jijini Mbeya, Rais Dr. Jakaya Kikwete aungana na waumini kusherehekea Sherehe hizo
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014 |
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
,Dr.Jakaya Kikwete ameungana na Kanisa la Tanzania assemblies of God TAG
siku ya jumapili hii katika sherehe za kuadhimisha miaka 75 ya jubelee
tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo hapa nchini Tanzania,sherehe ambazo
zilianza mapema mwaka huu na kufikia kilele chake siku ya jumapili
tarehe 13 July ,2014.Picha na matukio yaliyojiri katika maadhimisho hayo
ni kama zinavyoonekana hapa chini.











Comments