
Nilijiona hivi kwenye ndoto. |
Uwe Mwangalifu Pale Unapoota Ndoto Maana Ndoto Ni Mwongozo. MUNGU Analinda Kila Kilicho Chako Katika Dunia Hii, Ili Shetani Na Malaika Zake Waovu Wasije Kuharibu Kile MUNGU Ameweka Mbele Yako. Fikiria Kuhusu Farao Mfalme Wa Misri. Ingekuwa Vipi Kama MUNGU Asingemletea Ndoto? Wangekufa Kwa Njaa Karibu Nchi Nzima, Ingekuwaje Kama MUNGU Asingemfanya Yusufu Kuwa Muotaji Na Mfasiri Wa Ndoto? Pengine Angefia Gerezani, Vipi Kama MUNGU Asingempa Ndoto Yusufu, Si angekuwa Amemwacha Bikra Maria? Ndoto Zina Nguvu Na Kwa Jinsi Hiyo MUNGU Huwasiliana Na Watu Kwa Njia Ya Picha Au Maneno.
Comments