NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA UWEZE KUAMKA KUOMBA SAA 9 ALIFAJIRI HADI SAA 11 ASUBUHI.

(1) kabla ya kulala msihi Roho mtakatifu akuamshe pindi itakapo fika saa 9 alfjiri yeye anaitwa msaidizi wetu,, kama wewe huwa unalemewa na usingizi Yeye atakuamsha na kuomba pamoja na wewe,yeye ni mwaminifu halali hachoki wala hasinzii amini atafanya 

(2) kunywa maji mengi kabla ya kulala 

(3) hakikisha unakula mlo mdogo kabla ya kulala usishibe sana

 (4) tegesha kengele ya simu yako saa 9:00 alfajiri nayo itakuamsha

 (5) jiunge na waombaji wa usiku 

MUNGU akubariki.
By Rungu la Yesu.

Comments