Ungepewa Dk 1 Uhubiri, Huku Watu Wote Duniani Wakikusikia Kwa Lugha Yako Hiyo Hiyo Ya Kiswahili, Ungesema Nini?
BWANA YESU asifiwe.
Hapa ilikuwa Facebook nilipotoa ujumbe ili nione watumishi wa MUNGU wataiambia nini dunia kama wakipewa dakika 1 tu ya kuwahubiri watu wote duniani.
Ungepewa
Dk 1 Uhubiri, Huku Watu Wote Duniani Wakikusikia Kwa Lugha Yako Hiyo
Hiyo Ya Kiswahili, Ungesema Nini?
Mimi Peter M Mabula Ningesema Maneno Haya "YESU
KRISTO ANAOKOA, KAMA UKIAMINI MUDA HUU UNAOKOKA" Ningekolezea Kwa
Mistari Hii Yohana 1:12, Matendo 4:12, Mathayo 11:28, Zaburi 83:18 Na
Yohana 14:6.
Wewe Ndugu Yangu Ungesema Nini?
Nataka Neno Lako .
Haya ni maneno ya baadhi ya watumishi wa MUNGU.

kesheni mkiomba kwa kuwa hamjui siku wala saa Bwana ajapo,

Alex Rodrick
Mimi ningesema BARAKA ZA MUNGU ZIPO KWA AJILI YA WATU WAKE nakuwakoleza na mistari hii michache ktk Biblia Kumb ya torati 28:1~8 ,2 wakorintho 2:17,Yeremia 9:23:25
- Ningeyaambia Mataifa yote wautazame tu msalaba Watakuwa xalama kama wana wa Izraeli walivyoitazama ile nyoka ya shaba@Mtumishi.
- Deogratius Arego KESHENI MKIOMBA MAANA HAKUNA AJUAYE SIKU WALA SAA...KWAKE YEYE KILA GOTI LITAPIGWA.
Mimi Peter M Mabula Ningesema Maneno Haya "YESU KRISTO ANAOKOA, KAMA UKIAMINI MUDA HUU UNAOKOKA" Ningekolezea Kwa Mistari Hii Yohana 1:12, Matendo 4:12, Mathayo 11:28, Zaburi 83:18 Na Yohana 14:6.
Comments