kofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God Dr. Barnabas
Mtokambali ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Umoja wa Makanisa Ya
Assemblies Of God Barani Africa.
Askofu
Dr. Mtokambali ambaye kwa sasa yuko nchini marekani na baadhi ya
wachungaji wa Kanisa hilo nchini humo kulikokuwa na maadhimisho ya miaka
100 ya Kanisa la Assemblies of God nchini humo ameteuliwa kushika
wadhifa huo Mapema wiki hii.
Comments