John Lisu kuzindua DVD album yake ya UKO HAPA October 5, 2014

Mwanamuziki nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania na Afrika Mashariki John Lisu anatarajia kuizindua Live DVD Album yake ya Uko Hapa mnamo tarehe 5 October mwaka huu 2014 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee.Album hii inakua ya pili kuachiwa na mwanamuziki huyo.

Comments