Kama mastaa wanafika kipindi wanatambaua wajibu wao katika kumtumikia
Mungu, iweje wewe sasa. Masanja ametambua hilo na ndio maana akaamua
kufanya kazi kwa vitendo. JB mkongwe wa Bongo Muvi akiwa katika
unyeyekevu mkubwa sana wakati Mchungaji wa mitaani Masanja
Kambandamizaji akikandamiza maombi ya nguvu, mpaka kieleweke.
Masanja alitumia style zote ili mradi Mungu amesikia maombi na kuyafanyia kazi. Kazi ya Bwana itafanywa tu hata kama wewe hufanyi kwani wapo watakaofanya.
Na wewe sasa jisogeze kwa mtumishi wa Mungu Masanja Makandamizaji upate upako wa ajabu.

Kulia ni Masanja Mkandamizaji akimuombea JB wa Bongo MuviMasanja alitumia style zote ili mradi Mungu amesikia maombi na kuyafanyia kazi. Kazi ya Bwana itafanywa tu hata kama wewe hufanyi kwani wapo watakaofanya.
Na wewe sasa jisogeze kwa mtumishi wa Mungu Masanja Makandamizaji upate upako wa ajabu.

Comments