| Tukio lenyewe ndio hili. Asante YESU kwa wema wako kwa kuwa wewe BWANA unaweza kubariki. |
Namshukuru sana BWANA aliye MUNGU kwa uzima na kwa tukio la leo ambalo bila yeye lisingefanyika . Kwangu yote ni MUNGU tena ametenda kwa utukufu wake (Zaburi 83:18).
Leo tarehe 17 August 2014 mimi Peter Mabula nimemvisha Pete ya uchumba Scholar Mungusa na uchumba kutangazawa rasmi.
| Nikiwa na msimamizi wangu Pius |
Tukio hili lilifanyika katika kanisa letu la Kawe Pentecostal Church(KPC) na liliendeshwa na Mchungaji Kiongozi Elly Boto.
Hizi hapa picha katika tukio hilo.EMENITENDEA, AMENITENDEA. EMANUELI AMENITENDEA.
| Tunamtazama bibi harusi mtarajiwa akija mbele. |
| Scholar baada ya kuitwa mbele na Mchungaji. |
| Namshukuru sana MUNGU kwa tukio hili. |
| Mchungaji Elly Boto akinyanyua juu pete ya uchumba ili watu wote waione. |
| Wachungaji wakitukabidhi kwa MUNGU kwa maombi. |
| Wakati wa maombi lakini leo nilishtuka kidogo baada ya kupewa na Scholar zawadi ya ua. |
| Tukiwa pamoja na wateule wa MUNGU . |
| Tukiwa na marafiki. |
| Asante BWANA YESU kwa wema wako. |
| Tukiwa na wasimamizi wetu. |
| Kumtumikia MUNGU ni raha sana. |
| Scholar na marafiki zake. |
| Scholar na wadogo zake. |
| Scholar na msimamizi wake Tobietha. |
| Scholar katika pozi. |
| Mimi furaha yangu ni kuwa na YESU KRISTO maishani mwangu. |
| Peter Mabula na Scholar Mungusa. |

Comments