PICHA ZA MARTHA MWAIPAJA NA AMBWENE MWASONGWE WAKITOA BURUDANI KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 DR
Msanii wa nyimbo za Injili, Ambwene Mwasongwe akiimba wimbo wa Upendo ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Akitoa burudani kwa mashabiki
Ebwanaeeee...! kulikuwa na mtu nyomi.
Akizidi kutoa burudani ndani ya Tamasha la Matumaini…
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja akitumbuiza katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Martha Mwaipaja
Comments