![]() |
Moses Katindasa na mkewe. |
Rafiki yangu na mtumishi wa MUNGU Moses Katindasa hatimaye amefunga ndoa takataifu Kanisani. Ni furaha kuwa ndani ya YESU ni furaha kumtegemea MUNGU.
Ndoa ilifungwa katika kanisa ni KKKT kinyerezi na zoezi hilo liliendeshwa na mchungaji kiongozi Kijalo. ALICHOKIUNGANISHA MUNGU, MWANADAMU ASIKITENGANISHE.
“Apataye mke (mume) apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA “-Mithali 18:22
Ningeambia kufungisha ndoa ningefundisha yafuatayo.
1 Wakorintho 11:3 “Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.”
Napenda uelewe kwamba Kristo ni kichwa cha kila mwanamume, kama vile mume alivyo kichwa cha mkewe, na Mungu ni kichwa cha Kristo.
Waefeso 5:23 “Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.”
1 Petro 3:7“Kadhalika
ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa AKILI; na kumpa mke heshima, kama
chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima,
kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe”
HIZI HAPA BAADHI TU YA PICHA KATIKA TUKIO HILO AMBALO LILIFANYIKA KANISA LA
![]() |
''Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake cahpita kima cha marijani'' Mithali 31:10 |
![]() |
![]() |
![]() |
Moses na Mke wake. |
![]() |
Wakati wa kuvalishana pete ya ndoa. |
![]() |
Kwa YESU KRISTO ni raha. |
![]() |
Ndugu na marafiki. |
Comments