MATUKIO YA TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAMU YA IBRAHIM AHAZ SANGA NDANI YA LANDMARK HOTEL UBUNGO RIVERSIDE - DAR
Ibrahim Sanga kwa kupitia blog hii anawashukuru watu wote waliofika
katika tamasha lake lililofanyika hivi karibuni. Pia anamshukuru sana
mgeni rasmi Mh. Mwigulu Nchemba, waimbaji wote na media zote na bila
kusahau kampuni ya AGP Press kwa ushirikiano wao mkubwa kuhakikisha
kazi ya Mungu inaenda kama ilivyopangwa. Mungu azidi kuwabariki katika
kazi zenu na azidi kulinda afya zenu. By Rumafrica blog.
Ibrahim Sanga akisalimia na Mh. Mwingulu Nchemba
Ibrahi Sanga akiwa na stage show wake akimsifu Mungu wetu siku ya tamasha

Maombi yakiendelea

Mh. Mwigulu Nchema akifungua rasmi DVD ndani ya kisanduku
Comments