Mwl. Christopher Mwakasege Kutikisa mbeya kuanzia tarehe 19 Oct 2014. Posted by Peter Mabula Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwl. Christopher Mwakasege Semina ya Mwl. Christopher & Diana Mwakasege(Mana Ministry) itafanyika Mbeya mjini kuanzia tarehe 19/10-26/10/2014. Viwanja vya OTTU-Mwanjelwa kila siku kuanzia saa tisa Alasiri mpaka saa 12 Jioni. JIANDAE KUPOKEA. Comments
Comments