Mkutano mkubwa wa injili unaendelea Mbezi beach kwa Zena karibu round about ya kuelekea white sand Hotel. Ni katika viwanja vya kanisa la Pentecostal Assemblies of God marufu kwa jina la Bonde la Baraka ambalo linaongozwa na Askofu Thomas Dige. Karibu sana Wahubiri ni kutoka Kenya.
Comments