PASTOR UCHE KUFANYA TENA ALBUM NA JOYOUS CELEBRATION,PICHA AKIWA MAZOEZINI NA OFISINI.

Muimbaji Pastor Uche aliyejipatia umaarufu na kundi kubwa la muziki nchini Afrika Kusini (Joyous Celebration) siku ya leo katika account yake Instagram amepost picha tatu zinazo ashiria kurudi kwenye kundi hilo na kufanya album
ya 19 na Joyous.Baada ya kupost picha hizo maswali mengi alipata kutoka kwa mashabiki wake hivyo kuwaacha na maswali pasipo kujua nini kinafata.
Tazama picha hizo hapo chini kwa hisani ya Unclejimmytemu.com

Comments