TAMASHA KUBWA KUTOKA KWA OBADEAR MNYANDULY.

BWANA YESU asifiwe.  Kwa wakazi wa Dodoma hii sio ya kukosa. Karibu sana tarehe 23 November 2014. Kutakuwa na Tamasha kubwa la utambulisho wa albamu ya Obadear Mnyanduly ambaye atasindikizwa na gwiji wa nyimbo za injili Steve Wamara pamoja na John Stephano na Charles Daniel.

Comments