Bi. 
Angela Kiria-Mbega akiwa studio kurekodi 'single' yake ya Injili. 
Historia ya Balozi huyu mpya wa Yesu Kristo imekumbwa na changamoto 
nyingi sana - kutoka Madrasa hadi kuimba Injili siyo kazi rahisi kwa 
nguvu za kibinadamu bali ni Utukufu wa Mungu.
Prodyuza
 Emmanuel Kaduma wa studio za Sound Level Production akiwa makini 
kuhakikisha vocal zinaingia kwa usahihi. Jiandaeni kusikiliza kazi za 
mwinjilisti huyo mpya. Habari za Mwinjilisti huyu mtazipata hapa hapa kwenye blogu hii. Subirini...


Comments