Miaka 25 iliyopita siku kama ya leo ni
siku ambayo Mchungaji wa kanisa la EAGT Lumala Mpya la jijini Mwanza na
Muinjilist wa kimataifa Dr.Daniel Moses Kulola alifunga pingu za Maisha
na Bi,Mercy Kulola, na kufanyika kua mwili mmoja kama maandiko
yanavyosema...

Kutoka kwenye Account yake ya Facebook ameandika hivi na kupost picha hizi
""""the day i cant forget it into our life with my lovely wife.... today is
our 25th wedding anniversary. i remember and the dates cannot be taken
out from my heart....18th Nov 1989... thank you for your PRAYERS""""
Daniel Moses Kulola



Blog hii inawapongeza sana kwa kutimiza miaka 25 ya Ndoa na tunawatakia Maisha mema na yenye Baraka tela na Utukufu wa Mungu.
Mungu awabariki sana.
Chanzo:Mjap inc blog
Comments