![]() |
George Godwin Njabili enzi za uhai wake akimtukuza MUNGU kanisani. |
Hizi hapa baadhi ya Picha wakati mwili wa George Njabili ukiingia kanisani Mtoni KKT.
ukiingizwa kaanisan mchana huu kwa ajili ya kuagwa.na watoto wake wakiwa wamebeba msalaba na picha ya george.pumzika kwa amani mpendwa wetu.
BWANA alitoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA libarikiwe.
Muone Geoge akiimba wimbo huu.
![]() |
Mwili wa Marehemu George ukiingizwa kanisani. |
![]() |
Mwili wa George Njabili ukiingizwa kanisani Mtoni KKKT mchana wa jana kwa ajili ya kuagwa. Waliobeba msalaba ni na picha ya Marehemu George ni watoto wa marehemu George Njabili |
![]() | ||||
Wakati wa kuuaga mwili wa marehemu George Njabili Kanisani. |
Comments