Hii ni sehemu ya tafrija aliyoifanya
Mchungaji wa kanisa la World Alive Ministry lililopo maeneo ya Sinza
Mori jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha kutimiza Miaka 26 ya ndoa
yake na mkewe, Clara Lubala,
 |
Hii ni picha iliyopigwa November, 05th 1988.siku ya Harusi kati ya Pastor Deo Lubala Bi Clara |
Comments